Monday, December 12, 2011

MAISHA YA GETO NOMA.....UGALI NA COCACOLA!

Kazi kweli kweli....!!!! Maisha ya ubachela yana mambo yake haswa! Maana ukianza kufikiria upike mboga, upike ugali....hupati picha kabisa, ni heri ufanye fasta fasta kama jamaa hapa!

No comments:

WATEMBELEAJI