Thursday, December 15, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE...AWASILI KAMPALA LEO!

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt.Jakaya Kikwete...amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda, tayari kuhudhuria Mkutano wa nchi za maziwa makuu kupinga unyanyasaji na ukatili wa Kijinsia.

No comments:

WATEMBELEAJI