SHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA...ITALY - ROMA!
Keki nzuri ya miaka 50 ya Uhuru wetu wa Tanzania....katika sherehe ya Watanzania waishio nchini Italy, iliyofanyika Mjini Roma...na kuandaliwa na Wana Jumuiya ya Watanzania - Roma.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Italy, Mh.Salvatory Mbilinyi....akikata keki ya 50 ya Uhuru Mjini Roma - Italy.
Meza kuu.
Picha ya pamoja ya Watanzania waishio nchini Italy....katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru, iliyofanyika tarehe 09/12/2011. Mjini Roma.
Watanzania wa Italy....pamoja katika miaka 50 ya Uhuru wa nchi yetu.
Na mimi sikukosa katika sherehe hii...nipo pamoja na Wadau Watanzania wenzangu.
No comments:
Post a Comment