Monday, December 12, 2011

SHEREHE ZA KUADHIMISHA 50 YA UHURU NCHINI UK-LONDON.

Ally Kiba....akitumbuiza kwa hisia!

Diamond....nae alifunika mbovu kwa stahili zake za kucheza.



Palikuwepo na onyesho la ngoma na minenguo ya Ki Tanzania, kama wanavyoonekana katika picha, Wasanii hawa wakicheza ngoma za asili za Tanzania.






Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mh.Peter Kallaghe...katikati akiwakaribisha Wanamziki wa Tanzania, Ally Kiba....kushoto, Diamond na Profesa Jay...kulia. Wanamziki hao wapo nchini Uingereza katika ziara ya kimuziki.







Mashabiki walimiminika kwa wingi.








No comments:

WATEMBELEAJI