TAARIFA ZAIDI YA MSIBA WA BABU...HAPO BAADAE JIONI.
Taarifa zaidi za Msiba wa Babu yangu itakuwa hapo baadae jioni...maana alifia Hospitalini mbali kidogo na nyumbani Kijijini, na mipango ya kusafirishwa maiti kurudi kijijini bado zinafanywa...inasemekana mazishi yakawa kwesho. Hapo baadae nitajua zaidi. Halafu nitarudi hapa kutoa habari zaidi.
No comments:
Post a Comment