Wakati nikifanya kazi ya kusaidia hapa...nilianza kujisikia tofauti sijielewi elewi...kumbe taarifa ilikuwa inakuja njiani ya Msiba wa Babu, kweli mambo ya misiba wakati mwingine tunayasikia kabla, ila tunakuwa hatujui ni nini. Baada ya kumaliza kazi hii...naelekea kwenye gari ili nirudi nyumbani, mara simu inaita...naangalia ni Binamu yangu, mara ananipa taarifa ya msiba wa Babu. Basi nilirudi mnyonge nyumbani...lakini basi ndo maisha yanavyokwenda.
No comments:
Post a Comment