Sunday, December 4, 2011

TAFAKARI YANGU KATIKA JUMAPILI YA LEO!

Ewe shetani ondoka, huna nafasi tena-nenda zako.....nimechoshwa na mambo yako, nimeamua kukwambia waziwazi. Kwako kuna giza nene, kwako kuna maovu.....tangu leo nimeamua kumfuata Yesu aliye simama katika haki!
Wewe ni mchawi sana tena ni mlevi sana, wewe ni mchoyo sana tena ni mwizi sana tu, wewe una magonjwa tena yale yasiyo na tiba, wewe ni mwuuwaji na tena ni msengenyaji sana, wewe ni mwenye fitina tena ni mwenye kupenda anasa, wewe ni mlafi sana na tena mwenye tamaa sana.
- Toka kwangu kabisa wewe shetani, sikutaki kabisa!

No comments:

WATEMBELEAJI