Sunday, December 18, 2011

TAFAKARI YANGU YA JUMAPILI HII NJEMA!

SHERIA ZA MWENYEZI MUNGU NI NJIA YA FURAHA KATIKA MAISHA.


Kushika sheria za Mwenyezi Mungu.... si utumwa bali ni kutembea katika njia yenye furaha kamili. Heri watu wanaoishi bila kosa, wanazingatia sheria ya Mwenyezi Mungu...heri wanaozingatia matakwa yake, wanaomtafuta kwa moyo wao wote, watu wasiotenda maovu kamwe....bali daima huitafuta njia yake.
Na kwamba muundo mzima umetawaliwa na upendo kwa neno la Mungu. Sheria za Mwenyezi Mungu ni; Mwanga, Maisha na Wokovu.

No comments:

WATEMBELEAJI