Wednesday, December 28, 2011

VIONGOZI WA TIMU YA YANGA....ONDOKENI SASA!

MAKAO MAKUU YA TIMU YA YANGA, JIJINI DAR ES SALAAM.

Wanachama wa Tawi la Yanga Tandale - Jijini Dar es salaam, wamewataka Viongozi wa Klabu hiyo ya Yanga waliopo madarakani kuachia ngazi kwa njia ya busara kabla hawajakusanya nguvu kutoka katika Matawi mengine.....na kuwaondoa kwa nguvu.

No comments:

WATEMBELEAJI