Wednesday, December 28, 2011

UDANGANYIFU WA MITIHANI UNAPOROMOSHA MISINGI YA ELIMU.

WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WAKIFANYA MTIHANI WAO WA KUHITIMU.

Matokeo ya Darasa la saba Mwaka huu wa 2011, yamewakera wapenda elimu wengi....si kwasababu Wanafunzi hawajafauru vizuri sana, bali kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya udanganyifu kwenye mitihani, ambavyo Walimu na Wasimamizi wanashiriki kwa njia moja au nyingine kutoa matokeo yasiyo ya kweli.

- Picha na Habari na Magnus Mahenge.

No comments:

WATEMBELEAJI