Sunday, December 25, 2011

WANA MBEYA WASHEREHEKEA KWA AMANI NA UTULIVU X-MASS!

Familia mbalimbali leo zimetoka kusherehekea sikukuu ya Noeli kwa amani na utulivu.
Katikati ya Jiji la Mbeya, watoto wakitembea kwa furaha...kufurahia sikukuu ya X-mass.
Haya ni maeneo ya Uzunguni (Weru Garden) watoto wakisubiri Toto Disco.

No comments:

WATEMBELEAJI