Sunday, December 25, 2011

KRISMAS LEO KATIKA KANISA KATOLIKI ST.JOSEPH -DAR.

Kanisa la Mt.Joseph, makao Makuu ya Jimbo Kuu la Dar es salaam - Tanzania.
Kardinali Pengo, akielekea Kanisani kwaajili ya kujiandaa na Ibada ya Misa Takatifu ya Krismas, akisindikizwa na Paroko wa Parokia ya St.Joseph, Pd.Makubi na Paroko msaidizi Pd.Kigomba.



Wakati wa Ibada ya Misa takatifu ya Krismas. Leo hii Jijini Dar es salaam.
Wanakwaya wakiimba wakati wa Misa.
Waziri Membe, akiwasili Kanisani hapo.
Waziri Membe, akiwa katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki la Mt.Joseph.

Waumini wakiwa katika Ibada ya Misa Takatifu ya Krismas, ndani ya Kanisa la Mt.Joseph - Jijini Dar es salaam - Tanzania.

No comments:

WATEMBELEAJI