Tuesday, January 3, 2012

DKT. MSEKELA..ATEULIWA KUWA BALOZI WA TANZANIA-ITALIA.

Dkt.James Alex Msekela, ateuliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia. Kabla ya hapo Mh.Dkt.Msekela alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.

- Karibu sana Italia, Mh.Balozi.

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana. See you there

WATEMBELEAJI