MTOTO WA MKULIMA KIJIJINI KWAKE KIBAONI - MPANDA!
Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda...a.k.a MTOTO WA MKULIMA mapumzikoni Kijijini kwake, akiwa na Watoto na Wajukuu zake huko Kijijini kwake Kibaoni - Mpanda, wakati wa mapumziko ya Krismas na Mwaka Mpya.- Picha na Mdau Hilary Bujiku wa PMO.
No comments:
Post a Comment