Tuesday, January 10, 2012

ENZI ZA UHAI WAKE MWALIMU.....BABA WA TAIFA LETU!




Kama kawaida yake ilivyokuwa ni Mzee wa usimpo tu!.....je angekuwa mwingine ingekuwaje? Rais wa kwanza wa nchi, halafu ni mtu wa kawaida tu! kwakweli huwa najiuliza sana, kwanini na viongozi wetu wengine wasifuate mfano wa huyu Baba yetu wa Taifa?
Tuna mfano mzuri sana wa kuiga, kwanini sasa tusiige hekima zake Baba...ili kutumikia watu ipasavyo?

No comments:

WATEMBELEAJI