Madenge na Babu yake walikuwa kwenye matembezi na maongezi yao yakawa kama ifuatavyo;
BABU; Mjukuu wangu Madenge, jifiche maana leo hujaenda shule na Mwalimu wako huyo anakuja!
MADENGE; Babu jifiche wewe maana nimetoa taarifa kuwa sijaenda Shule kwa kuwa Babu yangu amefariki.
No comments:
Post a Comment