Saturday, January 7, 2012

HATARI HII.....

Bwana mdogo mfanyabiashara maeneo ya Stendi ya Dabaga, akiwa amepozi kwenye Tairi la Basi huku dereva akiwa kwenye usukani, jiulize dereva akiondoka dhafla Gari, what next........

Mmoja alijibu huvi; Next ni kupelekwa Hospital kwa matibabu.

Mwingine hivi; Hayo hayaondokagi haraka kihivyo Mwenyekiti, mpaka lipashwe moto kama nusu saa hivi. Huyo kijana anauzoefu, hapo si ndipo maskani kwake?


Hii nilikutana nayo kwa Mwenyekiti Mjengwa wa Mjengwa Blog. Nikaipenda nikaamua niilete na hapo.

- Picha na Mkuu Mjengwa.

No comments:

WATEMBELEAJI