Saturday, January 7, 2012

SASA SHULENI SAA NGAPI?........

Kijana mdogo akiwa anachoma Chips, maeneo ya Ipogoro - Iringa, ili kujipatia riziki yake...sikuweza kufahamu ameajiliwa hapo au la!

- Picha na Mkuu Mjengwa.

No comments:

WATEMBELEAJI