Sunday, January 8, 2012

LEO NIPO SAFARINI KUELEKEA UJERUMANI - HAMBURG.

HAMBURG ikionekana kwa mbali chini.

Leo nipo safarini kuelekea huko Ujerumani, nitakuwa huko kwa muda Mwezi mmoja....mitaa ya huko Hamburg na katika Kitongoji cha Luneburg. Lakini libeneke la haka katika KAZI YAKO NI JINA LAKO, linaendelea kama kawaida hata kama nitakuwa na ubize wa mambo fulani huko.

-PAMOJA DAIMA WADAU WANGU!

No comments:

WATEMBELEAJI