Kusoma kwako na kupata kwako kazi nzuri, isiwe fimbo ya kunyanyasa na kudharau wengine.....kwani vyote hivyo ulivyonavyo ni mali ya Bwana, na umepewa kwa neema yake tu! Hivyo usijigambe sana na kutambia sana wenzako.
- Mbarikiwe sana wote hapa Wadau wangu katika Blog hii.
No comments:
Post a Comment