Leo hapa kwetu Cesena imeshuka theruji ya kutosha....hizi picha nimepiga kutoka dirishani kwangu. Yaani vile siipendi barafu mpaka basi, na vile kesho ninakisafari cha hapa na pale ki kazi na gari.....najifikiria mpaka basi. Sipendi kabisa kuendesha gari wakati wa barafu kama hii ishukapo.
2 comments:
Hapa sasa Kaaaaazi kwelikweli..natumaini una masweta na mablanketi ya kutosha :-)
Yapo dada Yasinta, lakini duuuh!!!!
Post a Comment