Friday, January 6, 2012

TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION. 24/7...NON STOP.


www.tmtv.co.tz

1. http:/tmtv.eightzerodigital.com/player.php
2. Http:/tmtv.co.tz/tmtvlive/index.php

Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona Online na pia katika DECODER. TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer yako kwa Link hii: www.tmtv.co.tz
Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika. Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani. Vilevile ni TV ambayo inarushwa kwa teknolojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia; MOBILE, GAMES kama XBOX360, SMATPHONES, aina zote kama za Mobile kama; Nokia, Motorolla, Samsung, LG zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRUSATTELITE.
TMTV ni kwaajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na Computer zetu. Ikiwa kama MTV Chanel.
TMTV ni Music Chanel ambayo inaonyesha Music ya Kibongo mchanganyiko 24/7. TMTV ina vipindi 10;

BENDI ZETU
SWAHILI HIP HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI NA NEWS.

Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha.
Link: www.tmtv.co.tz Downlod Microsoft Silverlight itajitokeza katika Screen, kama haijafunguka yenyewe.
E-mail: info@tmtv.co.tz

SHUKRANI KWA USHIRIKIANO WAKO.
TMTV
UTAWALA.

No comments:

WATEMBELEAJI