Yaani hapa nilipo sina hamu kabisa, baada ya kupewa kichapo na hawa Jamaa zetu (Binamu zetu) wa Inter..kwa bao 1-0, yaani hivi karibuni walikuwa midembwede tu, walikuwa wanafungwa na kila Timu. Sasa yaani wanatuonea sisi......wanatutolea uvivu sisi Binamu zao, ipo siku tutakutana tena!
- Basi hongera zenu Inter.
No comments:
Post a Comment