Mkazi wa Lugala, Kata ya Igawa, Tarafa ya Malinyi - Ulanga, Mkoani Morogoro...Elizabeth Kasukari, akiwaomba sana Mawaziri, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dr.Theresia Huvina na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh.Ezekiel Maige (hawapo kwenye picha) wasiondolewe Bonde la Kilombero kwa msimu huu wa Kilimo. Bonde la Kilombero ni maarufu sana kwa Wakulima na Wafugaji.- Picha na Habari na John Nditi.
No comments:
Post a Comment