Wednesday, February 8, 2012

MGOMO WA MADAKTARI TANZANIA......HATARI SANA!

Mgonjwa Damas Mwita, aliyelazwa katika Wodi ya Sewahaji...Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akizungumza kwa jazba mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya huduma za Jamii, Mh.Margaret Sitta (mwenye koti jeusi) wakati yeye na wajumbe wa Kamati hiyo walipotembelea Hospitali hiyo kujionea hali halisi ya wagonjwa baada ya kuwepo mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini kote.

- Picha na Habari na Fadhili Akida.

No comments:

WATEMBELEAJI