MIAKA 11 YA KUISHI HAPA SIJAWAHI KUONA HIVI.
Miaka 11 niliyoishi hapa Cesena, sijawahi kuona barafu ishuke hivi....kwa wingi kama sasa! Mambo mengi sana yamesimama, usafiri wa shida sana....hapa mji wa jirani watu wamebaki njiani na Treni masaa 8, kwa kufungiwa na Barafu.....sehemu mbalimbali zimebaki bila umeme kwa muda mrefu kwa hitirafu ya Barafu, na mambo kede wa kede hayaendi.....na bado inaendelea kushuka kwa wingi. Kwa kawaida hapa Cesena ilikuwa ikishuka kwa kawaida tu sio hivi.Samahani kwa kuwachosha na habari hizi, na picha hizi.......
2 comments:
uwiiiiiiiiiii! kaaazi kwelikweli mnatoka nje kweli..aise pole sana hilo libaridi.
Yaani we acha tu Dada Yasinta....tabu tupu!
Asante sana!
Post a Comment