Wednesday, February 1, 2012

NIMEOA MREMBO MZURI....LAKINI HAJUI KUPIKA! - MR.EBBO.



Hivi kwanini kwetu Tz....huangalia zaidi mke anayejua kupika? Wenzetu mambo haya hawana, kwani kama hajui kupika basi ndo hawezi kuwa Mke mwema?

No comments:

WATEMBELEAJI