Picha ya pamoja na marafiki wa kupanda Mlima kwaajili ya kusaidia Kituo cha Watoto Yatima wa Makalala - Mafinga - Iringa.
Kileleni.....baada ya tabu nyingi za kupanda mlima, hatimae ni kileleni tu! Ni furaha sana!
Kuongeza nguvu kidogo za kupanda Mlima, wanasema ndizi zinasaidia sana katika viungo kama mifupa....hasa katika kutembea. Nilijifunza hili kupitia marafiki hawa, maana ilifikia hatua miguu yangu ilikakamaa haswa, nikawa nashindwa hata kukunja....lakini nilipokula ndizi kweli nikaona nafuu sana.
Fujo, kutaniana, kucheka......zilizokuwepo hapa mpaka basi.
No comments:
Post a Comment