Sunday, April 1, 2012

ASKOFU CHENGULA AONGOZA MAANDAMANO YA J2 YA MATAWI.

Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya - Tanzania, Evaristo Changula........aongoza maandamano ya Jumapili ya Matawi kuelekea Kanisa la Bikira Maria wa Fatima, Kanisa la hija Jijini Mbeya.






Kwa mbele; Kanisa la Bikira Maria wa Fatima......Kanisa la hija Mwanjelwa - Jijini Mbeya.

- Picha na Mbeya yetu Blog.

No comments:

WATEMBELEAJI