Thursday, April 5, 2012

TASWIRA KATIKA TAIFA LETU!

HATARI; Mwanamama, mkazi wa Kingolwira, Manispaa ya Morogoro........akijishughulisha na kazi kwenye mashine ya kusaga mkonge ya Kiwanda cha Pangawe, huku akiwa na Mwanae mgongoni bila ya kuwa na vifaa vya kujikinga, kama alivyokutwa juzi kiwandani hapo. Hii ni hatari sana kwa mama huyu na mtoto!

- Picha na John Nditi.

No comments:

WATEMBELEAJI