Monday, May 21, 2012

LEO KATIKA MITAA YA KONGWA - DODOMA - TANZANIA.

Misele ya hapa na pale katika Vijiji mbalimbali vya Dodoma. Nikifurahia sana maisha ya Vijijini kama kawaida yangu ninapenda sana. Hapa ni Wilayani Kongwa, Mkoani Dodoma.

No comments:

WATEMBELEAJI