Sunday, May 20, 2012

NAPOLI WINS ITALIAN CUP.

Napoli FC which was well beaten by Chelsea in CL...leo wamewafunga mabingwa wa Italy....Juventus, goli 2-0 kwenye Finali ya Italian Cup. Goli la kwanza lilifungwa na Edson Cavani (Chelsea target) na  la pili limefungwa na Hamski.

- Hongera sana Napoli kwa ushindi huu.

No comments:

WATEMBELEAJI