Monday, January 28, 2013

AFRICAN DANCE MUSIC......WAGOGO-TANZANIA, PIA IMESHIKILIWA NA WAZUNGU. KAZI KWELI KWELI!!!


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kaka Baraka nimefurahi kweli na zaidi ni kwamba huyo mkaka namfahamu ni Kedmon Mapana au nnimekosea? je wewe unamfahamu?

Baraka Chibiriti said...

Hapana simfahamu.....kumbe unamfahamu? Hapo kilichonifurahisha sana ni ngoma za nyumbani (Kigogo).

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo huyoa kaka namfahamu na nimemuuliza kama ni yeye kasema ndiyo nshaonana naye naye ni mgogo...

WATEMBELEAJI