Thursday, January 31, 2013

NIKIELEKEA KIJIJINI KWETU KUSALIMIA.


 Hapa ndio mwisho wa safari, masika na shida zake.....mto una maji hakuna uwezekano wa kuvuka na gari.






Sasa ni mwendo wa bodaboda......lazima nifike kijijini.

No comments:

WATEMBELEAJI