Friday, July 12, 2013

KARAHA YA MIZANI TANZANIA.

Huwa najiuliza sana, sipati jibu kabisa......kwanini hii mizani isiwekewe barabara zake, maana huwa ni usumbufu sana hata ambao hawahusiki na mizani hii, kama vile wenye magari madogo....mara nyingi unalazimika kukaa kwenye foleni kutokana na kile hakuna barabara nyingine ya kupita....sasa Serikali yetu haiwezi kuliona hili swala?

No comments:

WATEMBELEAJI