Thursday, July 11, 2013

KICHEKESHO CHA LEO HII.

Bili ilivyomchanganya Masawe; Masawe alienda na rafiki zake Bar kunywa, baada ya kumaliza kunywa bili ikaletwa kama ifuatavyo;

1). Manka          = sh.35,000.
2). Marieta         = sh.20,000.
3). Kekuu          = sh.30,000.
4). kitime           = sh.15,000.
5). Kinabo         = sh.10,000.
TOTAL            = SH.110,000.

Masawe akaicheki bili akasema; wote nitawalipia, lakini huyo TOTAL ''Yesuu'' simlipii kabisa. Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa Bongo....shensi taaip! na amekunywa nyingi kuliko wote, alipe mwenyewe.

No comments:

WATEMBELEAJI