Monday, July 29, 2013

KARIBUNI SANA KWETU MANYONI KWA WANYAMBWA!

Karibuni sana kwetu Manyoni kwa Wanyambwa, Mji wa kitalii;

1). Kuna mawe makubwa sana karibu na barabara.
2). Kuna nyumba za tembe nyingi kuliko idadi ya watu.
3). Kuna matunda mengi ya kipekee, kwa mfano; Safu, Fulu, Mbokomboko, Ntundwe, Sinjisa, Mankulwa na Mpelemehe.
4). Kuna mboga nyingi za kipekee, kwa mfano; Sanyantwa, Chipali, Ilende, Mgalu, Hatile, Safwe, Mzimwa, Munkwiguu, Wooga na Mpilamakala.
5). Kuna majina mengi ya watu wake ni ya matukio, kwa mfano; Matonya, Mtemi Mazengo, Makanya, Mahode, Madebe, Makwaya, Mang'ati, Mangoba, Mtemi madobanga na Manyau.
6). Pia kuna ngoma nyingi, kwa mfano; Nindo, Mpendoo, Msunyunto, Palinje chibite, Mhololo, Chipande na Iduwo.

- Hii ndiyo Manyoni yetu, Mji uliobarikiwa.......chezea Manyoni weyeeehh!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI