Tuesday, July 30, 2013

KUNA WATU AMBAO SITAKI KUWAPOTEZA KABISA KATIKA MAISHA HAYA!

Kuna watu ambao sitaki kuwapoteza hata kuwasahau kabisa maishani mwangu......kwani roho zao hazibebi; Chuki, Majivuno, Dharau, Kiburi na Jeuri.......bali roho zao ni kama lulu, hubeba; Upendo, Tabasamu daima, Ukarimu, Heshima, Imani na Kujali sana.

- Hakika wewe mdau usomayo hii msg sasahivi hapa ni mmoja kati yao.....na kama sio basi jitahidi uwe mmoja wao.

No comments:

WATEMBELEAJI