Tuesday, August 13, 2013

HAPA NI MWENDO WA UBABE UBABE TU......HAKUNA KUTISHIANA AMANI KWANI NINI BWANA?

Utoto bwana kazi kweli kweli.......mara nyingi hakuna la maana linalo fanya wagombane, basi tu na wapambe kuchonganisha ndo usiseme kabisa, labda hapa hatuwaoni kwenye picha hii....lakini wapo pembeni wakichochea kwa sana. Jamani ugomvi hauna maana yoyote.
-Tudumishe amani daima!

No comments:

WATEMBELEAJI