Tuesday, August 13, 2013

BUSARA ITAKULINDA KATIKA MAISHA HAYA!

Busara itakulinda......Heshima itakuhifadhi.......Bidii itakuongezea maarifa........Maombi yataimarisha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu.......Unyenyekevu utakufanya upendwe na kila mtu, kwani kila atakaye kuona atatamani aishi kama wewe.

- Wewe mdau unaye soma hii msg sasahivi..... Mwenyezi Mungu akujalie haya yote katika maisha yako!

No comments:

WATEMBELEAJI