Monday, August 12, 2013

HAYA KAZI KWENU MASHAROBARO.

Haya kazi ni kwenu masharobaro mlioko ulimwenguni, kama buti ya gari lako haiko hivi au zaidi.....basi ujue hujakamilika usharo wako. Usharo gharama ati eehh...!!!!!


- Na mimi naongezea; kwa barabara zetu za vumbi.....hii buti iwe tait ya kutosha vinginevyo balaa tupu!

No comments:

WATEMBELEAJI