Wednesday, August 14, 2013

JK AKIONGEA NA MLEMAVU......MARA NYINGI HUSIMAMISHA MSAFARA WAKE KUONGEA NA WATU KAMA HAWA.

Mimi mwenyewe kwa macho yangu nilishawahi kushuhudia kule Dodoma Rais JK, akisimamisha msafara wake pale alipomwona mlemavu.....kwakweli nampa hongera sana na kumsifu sana Rais wetu,  kwa kujali watu kama hawa. 
Hivi ndivyo inavyotakiwa kwa maisha haya, kujali watu hata kama hutawapa kitu chochote....lakini umejali utu wao kwa kuwaheshimu. Kila mtu ana mapungufu yake, hakuna mkamilifu, hata kama wanakusema kwa mambo mengi...lakini yapo mambo mazuri kama haya tunayaona.......safi sana JK.

No comments:

WATEMBELEAJI