Wednesday, August 14, 2013

MAISHA NI KITENDAWILI.

Maisha ni kitendawili chenye kustaajabisha sana, wale unaowadhania kuwa wema ndio hatari kabisa huwezi fikiria, ona kama hii;

Daktari anakuombea uugue......Wakili anakuombea upate kesi........Mtengeneza majeneza anakuombea ufe........Polisi anakuombea uwe mhalifu ili akukamate........Lakini la kustaajabisha Mwizi ndiye pekee anakuombea ufanikiwe ili akuibie. Umeona eehhhh.....!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI