Sunday, September 29, 2013

SHULE YA CHEKECHEA YA URAFIKI YA ITIGI, MANYONI, SINGIDA - TANZANIA....SHULE YANGU YA CHEKECHEA NILIYOSOMA NA MWALIMU WANGU. NIMEFIKA KUTEMBELEA SHULE NA KUMTEMBELEA MWALIMU WANGU.

 MWALIMU WANGU WA CHEKECHEA, SISTA PIERINA....ANANIKUMBUKA SANA MPAKA NIMESHANGAA PAMOJA NA UMRI ALIONAO WA MIAKA 84, LAKINI HAJANISAHAU HATA KIDOGO. NIFURAHA SANA KWANGU.
 HAPA NDIPO NILIPOANZA KUJIFUNZA KUSOMA NA KUANDIKA...SHULE YA CHEKECHEA YA URAFIKI ITIGI.



No comments:

WATEMBELEAJI