Nakuombea daima Baba wa Taifa....nawe siku uweze kuwa mwenye heri kama mwenzako hapo kwenye picha. Unastahili sana kuwa Mtakatifu.
- Mwenye heri Papa Yohani Paulo wa II, utuombee
Pia tunakuomba utuombee kwa Mwenyezi Mungu, ili Baba wa taifa apate kuwa Mwenye heri kama wewe.
No comments:
Post a Comment