Thursday, September 25, 2014

MIMI NA BOSS WANGU MALAIKA....BOSS WA MAKALALA CHILDREN'S HOME, TUKIWA PAMOJA NA BABA ASKOFU NGALALEKUMTWA WA KANISA KATOLIKI LA IRINGA.


Mimi na Boss Malaika....Boss wa Kituo cha Watoto Yatima Makalala, tukiwa pamoja na Mhashamu Baba Askofu Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki la Iringa, ambapo tulienda kumtembelea hapo kwake Uaskofuni Kihesa - Iringa. Baba Askofu Ngalalekumtwa pia ni Rais wa Maaskofu Katoliki Tanzania, ni mtu poa sana....alitupokea vizuri sana....asante sana Baba Askofu Ngalalekumtwa. Pia Baba askofu ni mshirika sana wa Kituo cha Watoto cha Makalala, ambapo kwasasa nafanyiakazi mimi.

No comments:

WATEMBELEAJI