Wednesday, October 1, 2014

TAFRIJA FUPI YA KUMWAGA MWANZILISHI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA MALAIKA CHA MAFINGA, IRINGA.

Asante sana Dada Malaika kwa moyo wako wa upendo kwa hawa watoto yatima, kwa kupata wazo hili zuri sana na kujenga kituo cha kulelea watoto yatima. Ni watu wachache sana wenye moyo kama wa kwako hapa duniani, pamoja na utajili walionao....lakini si moyo kama wa kwako. Mimi binafsi nasema asante sana Malaika kwa moyo wako mkuu wa upendo. Pia nakutakia safari njema sana ya kurudi nyumbani kwenu Cesena - Italy.

No comments:

WATEMBELEAJI