MASHINE YA KUSAGA NAFAKA YA KITUO CHA WATOTO YATIMA WA MAKALALA, MAFINGA - IRINGA.
Moja ya mradi ninaotaka kuanzisha Kituoni hapa, ili kupata hela maana kituo hakina mradi. Na hizi mashine wanatumia kusaga nafaka za hapa kituoni basi, na kwa mwezi ni mara moja tu....baada ya hapo hazina kazi tena.
No comments:
Post a Comment