Mbunge wa Dodoma Mh.Antony Mavunde aliyekaa katikati.
Mbunge wa Dodoma Mh.Antony Mavunde, aliyekaa.
Mbunge wa Dodoma Mh.Mavunde akiwepo katika kikao kati ya wataalamu wa Benki ya akina Mama(TWB) na umoja wa kikundi cha akina Mama Lishe wa eneo la Jamatini - Dodoma, kwa lengo la kusaidia kupata mikopo ya mitaji ya kuendeleza biashara zao.
No comments:
Post a Comment