Friday, December 4, 2015

NYATI WANANE WAMEKUFA KWA KUGONGWA NA FUSO....MIKUMI NATIONAL PARK.



Wanyama aina ya Nyati....wanane wakiwa wamekufa baada ya kugongwa na Gari aina ya Fuso, kwenye mbuga ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha foleni ya Magari. Tukio hili limetokea leo alfajiri tarehe 04 Desemba 2015.

No comments:

WATEMBELEAJI